Blogger Widgets

May 17, 2013

Picha Mbalimbali za Wahu Akiwa na Mtoto wake aliyemuimbia Wimbo wa "SWEET LOVE" akiwa na Mume wake Nameless

Hapo Nameless akiwa na mtoto wao akiwa mdogo
Wahu akiwa na mtoto wao Tumiso
Kipindi hicho mtoto wao akiwa mdogo
 Nameless akicheza na mwanae
Tumiso ndo aliyeimbiwa 'Sweet Love' na Wahu huyo.Hongera kwao kwa familia ya Furaha!
From:Annapeter

No comments:

Post a Comment