wajaribu kuwatengenezea mazingira basi’ – Fid Q
November 2, 2013
Tazama Maangamizi ya Faridi Kubanda.Duhh Huyu Mshkaji Kama Mbele Vile
Kampuni
ya Cheusi Dawa ya Fid Q, jana ilifanikisha kwa mara ya tatu kuandaa
showya Poetry Addiction aka ‘Uraibu wa Ushairi’ iliyofanyika kwenye
ukumbi wa Triniti jijini Dar es Salaam. Show ya jana ilishuhudia
wasichana pekee wakitumbuiza wakiwemo, Aichi, Kethi, Charlotte O’Neal
maarufu kama Mama C, Jade, Vanessa Mdee, Grace Matata, Elizabeth
Mwakijambile na wengine
wajaribu kuwatengenezea mazingira basi’ – Fid Q



























wajaribu kuwatengenezea mazingira basi’ – Fid Q
No comments:
Post a Comment