Haya Sasa Utata Mwingine Huu Hapa wa Bongo Movie Kati ya Batulli na Skyner Ali
Yobnesh Yussuph aka Batulli na Skyner Ali ni waigizaji warembo
wa filamu nchini. Kuna vingi wanavyofanana kuanzia wote kuwa mama watoto
na vitu vingine. Kwakuwa ‘selfie’ na Instagram ndio habari ya mjini
sasa hivi, tumewapambanisha kwenye mtanange huu wa ‘Battle of Selfies’
kujua nani mwenye pozi zuri zaidi katika picha hizo za kujipiga wenyewe. Skyner Batulli
No comments:
Post a Comment