Kwa mujibu wa Zizi, hakuna mrembo anayejiita boss lady anayeweza kuufikia uzuri wa Zari. “Sawa bossladys wengine wakali n berah brah lakini Zaribosslady from UG nimeshusha mikono ……#no1 ..nuffin more nuffin less,” alitweet rapper huyo.
Zari anafahamika kwa kuwa na maisha ya kifahari na ndiye mwanamke Afrika Mashariki anayemiliki magari yenye thamani kubwa zaidi. Kwa wale wasiomfahamu vizuri Zari, picha hizo chini zinaweza kuwapa jibu la kwanini Godzilla amemkubali.
No comments:
Post a Comment