Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.
Hawaachani
Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy
Nazizi akivaa nguo za brand ya Sappy
Sappy na Nazizi wakiwa safari kwenda Mwanza (kwa mujibu wa maelezo yaliyoandikwa kwenye picha hii ya Instagram)
No comments:
Post a Comment