Abdallah
Hamis Ambua wengi tunamjua kwa jina la Mjukuu wa Ambua Mtangazaji wa
kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio & TV leo majira ya
saa 9 alasiri amempoteza mwanae wa kwanza wa kiume kuzaliwa. Mtoto huyo
ambaye alikuwa na siku moja toka kuzaliwa hiyo jana mchana.
Na haya ndio niliyoyakuta kwenye facebook ya Dullah
Hii
ni status ambayo aliiandika jana mchana baada ya kupata mtoto na
alikuwa na furaha sana na furaha hiyo nikampigia simu na kumpa hongera
na kuanza kumuita baba na kumpa maneno mengi sana akiwa kama kijana
mwenzangu ambaye yupo kwenye Ndoa

No comments:
Post a Comment