Blogger Widgets

December 11, 2012

Yule House boy aliye zama penzini nakumzalisha watoto wa wili mke wa kigogo wa wizara ya nishati na madini ajitokeza na kueleza ya moyoni...!


                                 Penzi mapenzi penzini…
Kwa jina naitwa Erasto Mbuya nina umri wa miaka 31, mtoto wa pili kwenye familia ya watoto 6 asili yangu ni mgogo wa Mpwapwa ila nimezaliwa kijiji cha Idete wiraya ya Ifakara huko morogoro. Nina elimu ya msingi sikuweza kupata elimu zaidi kutokana na hali ya kwetu baba mama ni wakulima wa kilimo cha kujikimu.

Baada ya kumaliza elimu yangu ya msingi mwaka 1995 nilikaa nyumbani kwa miaka mitatu (3) bila mafanikio yoyote niliondoka nyumbani Idete kuja jijini Dar es salaam kujitafutia maisha kwani mimi ndo mtoto pekee wakiume nyumbani, haikuwa rahisi nilipofika Dar kutimiza kile nilichohisi nikifika nitakipata nilifikia kwa shangazi ambaye alikuwa anauza mbogamboga sokoni kariakoo shangazi au aunt Dora kama nlivomzoea hakupenda niwe mtu wakukaa tu nyumbani kama Chande.

Baada ya kufanya Sana kazi Na Aunt Dora kariakoo nilizoea mjini nami
kuamua kutafuta mishe zangu palepale sokoni nilipata kazi yakufungia wateja mizigo yao kwenye duka la vyombo vya ndani lililopo kariakoo msimbazi, hapa ndipo dira ya maisha yangu ilianza kubadilika maana sikuchukua muda sana kwenye ile kazi

Katika ufanyaji wa kazi mama mmoja ambaye alikuwa ni mteja maarufu kwenye hilo duka alitokea kuvutiwa na utendaji wangu wa kazi maana sikuwa mvivu nilipenda sana kazi ukizingatia ni duka la wa hindi inabidi uwe shupavu.Mama huyo kwa jina Angel au mama Gray aliniomba niache kazi pale na kwenda kufanya kazi za ndani nyumbani kwake huko Mikocheni B, kwakuwa alinihakikishia malipo mazuri na malazi pale kwake sikuweza kukataa baada ya makubaliano hayo nilimweleza Aunt Dora akanielewa hivyo baada ya siku mbili za maandalizi yangu mama Gray aliniijia pale dukani na kwenda kwake.

Nyumbani hapo mama Gray aliikuwa anaishi na mume wake na mwanae Gray ambaye nilimkuta na miaka mitatu, mume wake ni mkaguzi mkuu wa hesabu wizara nyeti hapa nchini, maisha yalikuwa mazuri sana kwangu kwani kazi yangu kubwa ni usafi wa mzingira ya nyumbani, kuangalia mifugo na kwenda sokoni kama kuna mahitaji ya muhimu hapo nyumbani, niliishi kama nyumbani mpaka Gray anajua mimi ni baba yake mdogo kumbe sivyo.

Baada ya kazi kwa muda wa mwaka mwaka familia ilinizoea nakunipenda sana kwakuwa nifamilia bora hawakupenda niwe tofatuti sana na pale, nilipelekwa kusoma English course na computer pia nikaenda driving school  pale mwenge ili kwenda sawa na familia hyo kweli ninashukuru sana familia kwa hilo hivi sasa sio yule wa Idete I can speak and write English as well as communicate with people with no hesitations,

Kutokana na nafasi aliyokuwa nayo baba mwenye nyumba amekuwa akijihusisha na deal nyingi mjini mpaka nje ya nchi mara nyingi yupo Dubai, China na USA hujihusisha na biashara ya madini pia ni supplier mkubwa wa building materials hapa mjini sio siri anaingiza sana pesa kwani ni mkubwa hivo ana exemption yaani wana ingiza na kuuza hizo bidhaa bila kodi.
He always busy and he always looks for the fresh yaani alipenda sana kujiachia na totoz mpya ila alijari sana familia na pesa zake familia ilitumia ipasvyo.

Baada ya miaka minne nilipata uzoefu mkubwa sana pale nyumbani tulitoka na mama Gray kila alipopata mialiko kusolve problems shuleni kwa Gray, pia weekend tulispend sana na familia hata gari nilikuwa nalo mpaka sasa nina gari mbili kutumia hapo nyumbani mara nyingi nimekuwa wa kumshukuru mama Gray.

Kama unavyo tena Mr. na nyumbani ni kama sumu na mke wake hakuwa mtokaji sana kutokana na kufahamika kuwa mke wa Mr huyo.Hali ilianza kubalika sana pale nyumbani kutokana na mama kuanza uchokozi kwangu.
Mara nyingi mimi nilikuwa mtu wa mwisho kulala baada ya kazi nilikuwa na penda sana movies, ila siku hiyo ilikuwa ajabu sana tulikaa na mama Gray mpaka saa nane usiku hakuwa na chakusema alionekana sana mnyonge mpaka nikaingiwa hofu mama vipi? alikuwa kavaa night dress yake, nikamuuliza mama vp mbona mpaka sasa hivi afu leo mpole hivyo akajibu ‘mmh Erasto today am not feeling gud at all and I cant sleep bora nikuangalie labda ntalala’

Nilikosa jibu, mama acha tu nami nikalale kesho asubuhi si unajua ntakwenda Bunju site, aliniangalia akaja kwangu alivuta pumzi (deep breath) akasema okay usiku mwema,
Nlipo fika ndani niliwaza sana juu ya hilo ‘mama anaeniweka mjini leo vip?’ kweli sikulala ilipofika saa kumi kasoro nikaskia mtu anabisha hodi mlango wa room yangu nikainuka kwakusita huyu leo kawaje!!!
Kufungua hakuniambia kitu alipitiliza mpaka kwenye kitanda changu akakaa akasema funga mlango,, mmmh nifunge mlango?nilijiuliza,Erasto funga plz uje ulale alisema mama G, kutokana na heshima yangu kwake ikabidi niurudishie tu ni kaenda mpaka pale akasema ‘Sure I cant sleep Erasto bora tukae wote,’
Basi twende sitting room tukakae kama unaumwa ni mpigie simu doctor wako…! ‘Erasto kama ni doctor ndo kila kitu nisinge kuja ndani kwako we njoo ukae,
ili kuepusha nikaenda kukaa akanimbia we kuwa huru usihofu tulale tu,kiunyonge sana mtu mzima nililala japo kimang’amung’amu nae akalala japo hutukugu sana ilikuwa kama unaota moto vile.

Asubuhi aliamka na kusema Erasto we ni mtoto wa kiume sawa? Nilistaajabu, nikajibu ndio mama, kisha alijiandaa kwaajiri yakwenda kwenye ofisini mana mzee amempa ukurugenzi kwenye kampuni zake, nami nikajiandaa kwenda site bunju kuwalipa wajenzi pande hizo mzee kuna rental houses anajenga.
Ilipofika saa tano asubuhi nikapokea text yake
 ‘Erasto pitia hapa hoterini kwa maongez nawe”
hotel yenyewe ipo nyuma ya Chuo cha ustawi wa jamii bamaga sito itaja jina, sehemu hii mara nyingi nilikuwa napenda sana kwenda ndo maana aliniita pale, Kweli baada ya usimamizi pale site mida ya saa nane mchana nilierekea pale hotelini
Nikamkuta na rafikia yake anaitwa Royce walifurahi mikufika ila wao walikuwa kumbe muda mrefu wapo pale wakipombeka maana yale macho mmmh, anajua nini natumia akaniagizia ila Royce hakukaa sana akaondoka hivyo nikabaki na mama Gray pale.

Katika soga za hapa na pale huku tukifurahi na mama angu huyo ghafla akawa serious kidogo,kwa upole
‘ Erasto hivi unajua familia yangu mimi ni dada nina wadogo zangu nina ndugu wengi sana huko Songea na mume wangu wangu anandugu wengi sana huko kwao nahuwa unawaona wana kuja hapa,ila hatukai na mtu hapa  ila ni wewe na Dati(dada wa kazi) unadhani nilikuchukua wewe ndugu sina?
Niskilize Erasto sawa nina mume ila mume mahitaji tu nakunifanya ni shine hapa town, kama unavyo mjua nami ni mwanamke na nina hisia sio mgonjwa (sijakeketwa) iweje ni umie nawe handsome boy upo plz mi naomba unielewe we mpaka kuwa hapo unadrive wanakuona gentlemen kwa ajiri yangu nasio Mr sasa utapanda zaidi ya hapo maana nimekuandaa vyakutosha sasa hutonisumbua vingi sasa unavijua
Sasa wewe sio yule nasio mtoto tena Erasto we kijana mzuri sana ona ulivyo kidevu kizuri unakifua ona pensi zinavyo kukaa mimi naumia sana,
Hivi unajua kwanini Aneth na Rahma hawaji tena nyumbani? niliwakataza baada ya kuona wanakutaka siwez kumfanyia mtu kazi.
Hivyo ninachokuomba Erasto ondoa hofu kuwa huru mali zangu sio ishu mimi bado maskini wa mapenzi penzi lako ndo lita kamilisha utajiri wangu’ umeniskia?
Aliongea yote hayo huku akininishika sehemu zote alizo nisifia….

Sikuwa na chakujibu nikabaki napiga tu chafya kama beberu akasema ‘Erasto mpenzi twende kwahiyo lecture sasa upo teyari kwenda field,’
 kweli mimi bado nilikuwa kimya nakosa cha kujibu na baki voiceless, Okay, tukaondoka pale kila mtu akaingia kwenye ndinga yake hao kurudi home mikocheni B.
Kweli sikushirikisha mtu kwa hili nilijua nitasolve it myself baada yakufika home nilipga mishe za pale huku na mawazo rukuki nijinsi gani tachomoka kwa hili ila nkachukulia poa kidume hii ni mitihani.

Sasa baada ya dinner haikuwa kama nlivyozoea kuangalia movies aliniambia kesho nawahi kazini hivyo naomba ujiandae kwenda kulala kisha akaingia room kwake,
Nilipokuwa bedroom yapata saa tano usiku akaja ndani amevalia nightdress nilikuwa na woga sana kutokana na hadhi na msaada wake kwangu, alinishika bega na kunikiss on my lips, akasema
 ‘Erasto we sio mtoto my dear wake up,’
kweli kiwanja kigeni nilipata hofu mwili wote ulikuwa una sweat mpaka mama Gray alipata hofu akaniuliza honey vp unaumwa mbona hv twende bathroom kwanza uoge hope utakuwa poa.
Kweli nilirudi utotoni kwani baada ya kufika bafuni ilenataka kuingia kwenye dish akafungua maji aliniaaangalia akaniambia
‘plz toa hyo  vest na boxer basss’
kwa aibu sikuweza kuitoa hyo boxer nikaingia kwenye dish hvohvo,
Alismile nakusema
 ‘bado hujanizoea tuu mmh ila utachonga tu mzinga am ngoni gal’,
Alinzakuniogesha kila sehemu na ile boxer kweli haikuwa na chake tena kisha akaingia nae akasema
 ‘Do like what I have done for u,’
alitoa nguo ile aliyokuwa kavaa mama angu mdomo ukawa gagagagagagagaga nili taharuki saaaaana sijawahi ona ile mambo hilo dini kiunoni nyumbani Idete nafungua shule duuuuuh mtoto ana HIPS hicho kifua acha waniue tu……
Mtoto akaingia ndani kweli niliapa liwalo naliwe japo uoga upo ila jasho lilikata na mapigo ya moyo kidogo yalitulia baada yakuona ile mambo,
Basi nilianza nami kumuosha kama yeye alivyofanya kwangu ila aibu bado ilinitawala mama alicheka sana ila kila akinigusa nilisisimka mithili ya kuguswa na dudu washa, kwasauti ya chini alisema
‘hiyo aibu yako soon tunaitoa sawa eeeeh’
Basi babaako unadhani nilikwa na chakujibu!!!
 akainuka tukarudi tena kwa bed akanilaza chali nikiwa mtupu naye mtupu pia mikono yake aliipitisha kutoka kichwani mpaka miguuni ni zaidi ya ukakasi pale kucha zake zilipogusa chuchu zangu ni aaaaaaaaaaashhhhhhhhh huyo mngoni anabalaa
Alinipa mambo usiku huo nilijihisi kuzaliwa upya nakuwaza where have I been?
Kesho yake niliamka mchovu sana sikuwa na hali kwa ule mziki wake aliagiza Dati aandae supu chapati kwaajiri yangu alikuja room kwangu baada ya mi kuoga akanifanyia massage kweli ni ajabu kwangu muda wote yeye alikuwa mwenye furaha, akasema
 ‘jiandae kwa supu mtoto sawa?
Nami bila woga sawa mama Gray, akaniangalia akanijibu
 ‘U’ll no longer call me mama Gray hope u’ll have sweetest name for me karibu’
 akanikiss on ma chest mwaaaaaaah

Sasa sikuwa tena mgeni kwa mwili wake kona zote nilipita sasa ikawa hata gym ya nyumbani naingia nae mambo fresh tu,
Ila baada ya wiki mbili kwa ule ukaribu Mr baba Gray kweli alirudi home kweli niliingiwa hofu sana nkajua sasa hichi ni kifo kama atafahamu kuwa ni mimi ndo sasa hivi nafanya mamboz,
Kumbe jinsi nilivyo kuwa nina mawazo vile mama Gray alitambua nina mawazo ndipo alinifuata nakuniambia kuwa
Erasto plz kuwa huru acha uwoga wako ishi kawida kabisa huyu ni mume wangu na hali uliyo nayo wewe mume wangu hatokufikiria kwa lolote juu yangu, zaid huwa anakuhurumia sana jinsi history ya maisha yako ilivyo.
Hapo kidogo ilinipunguza hofu ila mwizi mwizi tu lazima ujistukie.

Baada ya wiki mbili Mr akaondoka kuelekea Vancouver kibiashara, ila kuna tatizo lilitokea pale nyumbani ambalo kweli nilitamani ni hame dunia,
Toka tuanze mapenzi na mama Gray ilikuwa imepita mwezi sasa ila alinishtua sasa nikawa nyonge muda mrefu sana,
Huwezi amini ety mama Gray alipata ujauzito wangu hali ile ilinichanganya sio siri, nikamwambia sasa itakuwaje mamaa mimi nitajificha wapi Dunia hii!!
Yeye alichukulia simpo sana hata kuwaza hakuna zaidi tu alifurahi sana, aliniambia
‘We hofu yako nini hiimimba imekuja pazuri kwanini baba Gray aliporudi nilimlazimisha sanatupate mtoto maana Gray sasa amekuwa na kwa hizo wiki mbili tulikuwa tukimtafuta huyo mtoto na ukweli haja mpata ila mamba ni yako ila baada ya mwezi yeye nitamjurisha kuwa sasa mimi mjamzito,
Naimani umenielewa wewe tulia usiwaze kabisa juu ya hili hope umenielewa’             

Kweli Mr alivyorudi alizidisha sana mapenzi kwa mkewe na safari alijaribu kupunguza, ila nami nafasi ya penzi langu ilikuwa pale pale alipo ondoka mtu mzima dimbani namega,
Baada ya miezi tisa mama Gray alijifungua mtoto wa kike she was my first japo kwa Mr alijua ni mtoto wake wapili,
Mtoto mzuri alifuata kwa mama kila kitu kasoro rangi ile ile ya kigogo mama mama ake ni black beauty baby gal aliitwa Glory maana mzee jina lake ni G hata wanae wote alipenda waanze na G.
Maisha yalizidi songa tukazidi pendeza na penzi kukolea toka Glory alipo zaliwa nilipendwa sana na yule mwanamke,
Baada ya miaka mitatu kupita mambo yalibadilika tena picha likajirudia vile vile mama Glory alipata tena ujauzito wangu nikitu huwezi kuamini hata nami sikuweza kabisa kuamini hilo,
Ikawa vilevile mzee aliaminishwa tena,sasa sikujua nini mzee kadata kwa mama maana yeye sio mkaaji afuanakubali tena mimba hivi ajiulizi…!kweli ili nishangaza nami nikaanza kuwa kifua mbele kuona sasa hapa hii ni slope nasijaoga dawa hata kula mizizi now this is my life and this is how I supposed to live.
Mama Glory alijifungua mtoto wa kiume ambaye walimwita George huyu sasa mambo haya kujificha macho pua vyote kwangu japo mama huyo wa kingoni ana damu kali maana hata Gray kachukua kila kitu kwa mama.

Kweli hii hali ilinifanya nijisaha kabisa kuwaza kutafuta mchumba eti iowe au ni anzihe familia, na hii ililet ugomvi sana mpaka nyumbani maana Baba na Mama sasa ni wazee na wanapenda niwe nami nima mji wangu pia wanataka niwe na watoto nao wawaone angali wazima, ila mimi hanipi hofu maana najijna ni baba wa watoto wawili japo najua mimi na mama yao hata watoto hawajui kuwa mimi ni baba yao.
Sasa Glory ana miaka mitano na George miaka miwili ukweli sikuzote haujifichi kuna vitu vingi sana hawa watotowamechukua kwangu afu wana mapenzi saaana na mimi hata nikitoka hunikumbuka sana…

Toka nimeishi pale kuna vingi nimevipata sasa nina nyumba maeneo ya mbezi juu japo sija hamia, nina shamba kubwa huko mikumi nalinafanya kazi pia nina commuter mini-bus hapa mjini hivyo na uhakika wa kuishi,

Sasa nini kimenisukuma kuja hapa FOL CLASSIC…..? Hivi sasa mzee anataka kuhama nhini maana ameisha acha kazi hapo wizarani kama miaka mitatu sasa, hivyo mambo yake mengi anafanyia London hata watoto anataka kuwa hamishia huko Gray teyari yupo huko vilevile kwa hilo mke wake hana ubishi nae kakubali kwenda,
Pia nyumbani kwetu baba yangu ni mgonjwa uzee na ana matatizo amepooza mguu mmoja hvyo kero yake kila siku ni kukutaka kuona nami nina watoto awaone kabla hajafa na hali yake ni mbaya jamani…!
Vilevile na Mama yangu mpendwa anataka kuona wajukuu kwani muda umekwenda sana.
Huku Mr G naye hivi karibuni anataka kuhama na familia yake, mama Gray nae kwahili kawa kimya hataki kusema kitu, na alinionya eti nikija kusema watoto ni wake ni sawa na bure na endapo nitazidi haoni hasara kunifanyia chochote kibaya……..

Haya nakuja kwenu mnisaidie, Mama Gray sio tena upande wangu kakubali kuhama nchini, Mr G yupo jirani kuondoka nchini..
Huku kwetu mama na baba ni kila siku kumuomba Mungu waamke salama na wana taka kuona watoto,
Je, nifanye nini hapo kuwaaminisha wazazi wangu kuwa nina watoto na nifanye kipi jamii ielewe kuwa wale ni wanangu na nina wataka mbali nakuandika huu waraka?

ASANTE SANA www.folclassic.blogspot.com naimani ujumbe utafika kwa watu wote na mtanisaidia kwa hili kwa kukoment hapo…
Story by Ngosha