Blogger Widgets

February 14, 2013

Picha mabalimbali za Mchina akila nyoka mzima mzima then nyoka anatokea Puani

Mtu huyu alionekana kuwaacha watu wengi midomo wazi pale alipoweka nyoka mdomoni mwake na nyoka hizo kutokea puani. Tendo hilo lililowaacha watu wakitaharuki lilifanyika katika jiji la Beiging China wakati wakazi wa China wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya hapo jana.

Hatahivyo sherehe hizo ziliendelea katika maeneo mbali mbali ya China ambapo pia walikuwa wakisherehekea kumbukumbu za mwaka wa nyoka.


Itabidi uamini tu macho yako kwamba hili linawezekana na limeshatokea