Msanii wa hip hop kutoka kundi la watengwa ambalo Maskani yake yapo Arusha , JCB Juzi aliuaga ukapela na Kufunga Ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Diana Jorgensen pande za Arusha..!! |
JCB akidondosha wino kwenye kitabu cha Ndoa..!! |
Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha Ndoa..! |
Picha ya Pamoja ya JCB na Mkewe Diana wakiwa na Ndugu,Jamaa na Marafiki bahada ya kufunga ndoa..!! |