Rapper mkali wa miondoko ya Hiphop kutoka T-zee Chidi Benz amefunguka kuhusiana mitazamo ya watu wanaodhani kuwa ameshuka kimuziki.
Akiongea na Baab Kubwa kwenye Special Interview Chid Benzi amesema haoni kama muziki wake umeshuka isipokuwa anaona unazidi kupanda.
Star huyo amesema kuwa anaamini bado yeye ni msanii Bora kwenye soko la muziki wa hiphop na uwezo wake kimuziki ni platnumz.