Blogger Widgets

April 30, 2013

Check Picha ya Tukio la Kusikitisha:Jamaa Amuua Mke wake na Mtoto wake Bafuni Baada ya Kuhisi Kuwa Mtoto Si Wake

HIVI NDIVYO MAMA NA MTOTO WAKE WAKIONEKANA BAADA YA KUFANYIWA UNYAMA HUO.

                         
  

Hili ni tukio baya kutokea Nchini Brazil pale jamaa mmoja ajulikanae kama ''Dai'' kumuhua Mpenzi wake pamoja na mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 8 baada ya kungudua eti si mtoto wake alietokana na mbegu zake bali ni mtoto wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 36 alifanya tukio ilo bafuni na baada ya kumaliza kufanya Unyama huo nae alitaka kujiua kwa kutumia sumu aina ya BB rakini hakufanikiwa. Jamani wito wetu matukio kama haya yapo sana hata uko kwetu Tanzania na nchi nyingine pia tumieni busara katika kuamua mambo kama haya.