Inaonekana T.I
hakubaliani na vile ambavyo mke wake anavyojiachia na kuuonyesha mwili
wake kwenye mitandao ya kijamii na watu wote kuona.
Rappa huyo milionea ambaye pia muandaaji wa muziki wa hip hop anaonekana kuchukizwa na vitendo hivyo vinavyofanywa na mke wake.
Toka tetesi
zilipoanza juu ya T.I. na Tiny kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao,
Tiny amekuwa akiweka picha zinazoonyesha maumbile yake kupitia
Instagram.
Mnamo siku ya
jumapili, T.I alionekana kukasirishwa zaidi na kuamua kuandika kwenye
sehemu ya comment katika kumkumbusha Tiny akimwambia, ana kitu ziada
kukitoa zaidi ya makali0 yake.
Hizi ni comments za T.I kwenye posti ya Tiny...





No comments:
Post a Comment