Leo kupitia kipindi cha XXL on Clouds fm Rapper Nyandu Tozi wa B.O.B
Click ame achia Ngoma mpya inaitwa Mambo Mengine Baadae amemshirikisha
swahiba wake wa kitambo kutoka Micharazo Mr Blue pamoja na wasanii
wawili wapya kwenye game ya bongo flava Iva Son na Uswege, Nyandu pia
amerelease Video ya ngoma hiyo iliyofanywa na Nick Dizzo,
Huu ni wimbo wa Roma ambao Teaser yake
ilianza kuonekana wiki iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya
kijamii,jina la wimbo unaitwa KKK umefanyika Tongwe
Records,kashirikishwa msanii mchanga kabisa kwenye muziki anaitwa
Nicolazo ambaye kiasili anatokea Mtwara.
EEh baada ya Bey na
baby wake kuonekana wanatia hamasa wakiwa jukwaani haswa wakiimba drunk
in love, sasa Drake naye aanza kumuita mama ake jukwaani hebu jionee
video naona mashabiki nao
vizabi pale Riri wakati anaimba take care huku wakigusana gusana na
Drake basi watu wapo hoiiii love is in the air.......
Mwanamziki namba 1 kwa kupiga show
hapa Tanzania Diamond Platnumz hivi karibuni alitoa maneno akizungumza
siku akifa itakuwawaje kitu ambacho kilizua maswali mengi sana kwa
mashabiki wake ambao hawakutegemea hata siku moja kama atakuja kusema
maneno kama hayo kwa mashabiki wake kwani yalizua mining'ono mingi sana.
Katika kusema hayo maneno Diamond alisema ni moja kati ya nyimbo ambayo
ameiandika na inamtoa machozi kia aisikapo. Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema: Vipi Maneke atanililia...?? Je wasanii wenzangu wataniimbia..?? Ama litafutika jina langu...?? Na nyimbo zangu hawatasikia..?? Vipi wasafi watanililia....?? Je ndugu rafiki watahudhuria..?? Ama nitakapokufa Sina changu..?? Hata mama yangu watamkimbia...??
Kwa mara ya kwanza pata kuisikiliza na kudownload nyimbo hiyo yenye maneno ya kuudhunisha kutoka kwa Diamond