Hii Inasikitisha:Mtoto akatwa katwa mapanga na Baba Yake baada ya kuangusha baiskeli iliyokua na matrei 25 ya mayai
Tukio
hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu
alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini
kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.