Kelly Rowland au jina la kwenye ID ni Kelendria Trene Rowland, mtoto mwenye vipaji vingi huyu ni mwanamitindo, mwigizaji pia mwanamuzik kama wengi tunavyo mfahamu pia ni mmoja katika kundi la Destiny's child, amezaliwa tarehe 18 feb,1981 Atlanta, Georgia na amekulia Houston na Texas America.
Fol Classic wish you happy birthday Kelly Rowland