Mashabiki wa Hip Hop wakishuhudia kilinge
Profesa Jay na shabiki
Zaiid, Profesa na Songa kulia
Nikki Mbishi
Mapacha
Zaiid akiwakilisha
Mzee Abby Sykes
Mapacha na Nikki Mbishi
Duke
Mapacha na Profesa
Black Rhyno
Mzungu shabiki wa Kilinge
Mkoloni akichana
Ni sehemu ambapo wasanii wa hip hop wanaimba kwa passion na si kwaajili ya fedha. Ni sehemu ambapo wanajibrush uwezo wao kwenye stage mbele ya mamc wengine wakali. It’s about having fun and showing the love for Hip Hop.
Kinachofurahisha zaidi ni wahudhuriaji wa Kilinge hicho ambao hakika ni mashabiki wa Hip Hop damu damu. Jana Profesa Jay alihudhuria kwa mara ya pili na hii ni baada ya kuona umuhimu wa kuhudhuria huku Mapacha, Mkoloni, Mzee Abby Sykes (baba yake na Dully Sykes) na Black Rhyno nao wakishika kipaza kuonesha uwezo wao wakisindikizwa na mamc waanzilishi wa Kilinge hicho kutoka Tamaduni Muzik.
Hizi ni picha za kilinge cha March 2, 2013. Picha na Ngome Video Facebook
Respect:BOngo5