Picha za Behind the Sceen ya New Video ya Chriss Brown akifanya yake kwenye Video ya "FINE CHINA"
Chris Brown yupo ktk mchakato wa kutengeneza Album yake mpya itakayoitwa Carpe Diem, pande za L.A akiwa na mtoto mkali wa ki-china hivi sasa anashoot video ya nyimbo yake mpya inayoitwa "Fine China"