Askari wa Jeshi la Polisi wakijihami na matambara pamoja na
mifuko ya nailoni ili kumdhibiti mtuhumiwa aliyejipaka kinyesi mwili mzima na
kutaka kuwakimbia askari kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam leo. Mtuhumiwa huyo ambaye jinalake halikupatikana maramoja alidaiwa
kuwa ni mwizi wa simu lakini hakimu alimwachilia huru kutokana na kukosekana
ushahidi hata hivyo askari waliendelea kumshikilia tena jambo ambalo lili
muudhi na aliporudi mahabusu aliamua kujipaka kinyesi mwilini.
|
Askari wakimdhibiti mtuhumiwa huyo kwa kutumia matambara na
mashuka mazito kutokana na kuwa na kinyesi kingi.
|
Akipandishwa kwenye gari la polisi na kuondoka nae.
|
Akilazimishwa kuvaa nguo.
|
Akiondoka eneo hilo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
|
No comments:
Post a Comment