Blogger Widgets

December 30, 2012

Kweli Dunia ina vituko:Huyu ndio Jamaa akionekana kalazwa Hospital baada ya kuvunjika uume wake wakati akifanya mapenzi na Mpenzi wake

Jamaa mmoja huko Malaysia ameonja joto la jiwe baada ya uume wake kuvunjika kati kati ya ligi wakati akifanya mapenzi na mpenzi wake, na kulazimika kukimbizwa hospitali huko  Malaysia kwa matibabu.

Jamaa huyu ameeleza katika mtandao wa
MMA naule wa TMZ kuwa wakati akifanya mapenzi na mpenzi wake, ambapo mpenzi wake huyo alikuwa anatumia mtindo uliotajwa kuwa ni wakumkalia juu akipanda na kushuka juu ya jamaa huyo, ndipo alipokosea kidogo na uume ule kukaliwa pasipo rasmi na hivyo kuvunjika.

Jamaa alizidi kufunguka kuwa "baada ya uume wangu kupata ajali hiyo damu zilitapakaa kila sehemu, niliruka pembeni, nikiwa na maumivu makali, nilikimbizwa katika hospitali iliyokuwa karibu ambapo nililazimika kufanyiwa upasuaji mdogo ili kuziba mishipa iliyokuwa ikivuja damu".


Anasema "hakuna maumivu niliyowahi kusikia kama haya baaada ya kufanyiwa upasuaji, kwani kila pigo la moyo wangu lilidunda na maumivu yake". Mpiganaji huyu anategemea kurudia hali yake ya kawaida - lakini ameshauriwa na daktari kumeza vidonge vya kuzuia mpango mzima kusimama yani..“anti-erection pills”kwa muda wa wiki mbili.


Mpiganaji anasema amekoma kamwe hatamruhusu Girlfriend wake awe juu yake wakati wa kufanya mapenzi.


MTAZAMO KWA WAPENDA MAPENZI YA KISASA.

Mfano mzuri mmeousoma hapo juu, punguzeni kuiga mambo ya magharibi ya jamaa chini - dem juu, ukivunjika huku Afrika unaweza kukatwa alafu mambo mengine ukala kwa macho.