Hatimaye muimbaji kutoka Marekani Chris Brown jana amehukumiwa upya kufanya kazi mbalimbali za kijamii ikiwa pamoja na kusafisha mazingira kwa mudaa wa wiki mbili na siku mbili .
Adhabu hiyo imetokana na kesi iliyokuwa inamakabili muimbaji huyo juu ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna .
Hukumu hiyo imetolewa jana na Jaji wa Los Angeles baada ya kuonekana kuna mapungufu mengi ya katika kazi alizotakiwa kufanya kulingana na 'probation' aliyokuwa nayo
No comments:
Post a Comment