Rapper wa Kenya Jackson Makini aka Prezzo jana usiku alidondosha show ya ukweli kwenye ukumbi wa New Maisha Club ambapo alisindikizwa na wasanii kibao. Miongoni mwa waliompa kampani ni pamoja na maswahiba wake, Mwana FA na AY, TID, Hemedy na Stereo. Hizi ni picha za show hiyo.
Dj kwenye 1 & 2
Hemedy akiperform
Hemed PHD
Stereo kwenye stage
Stereo akichana kwa hisia
Prezzo
Mnyama akiwa na Rapsident
Hapo vipi?
AY
254 meets 255
AY akiperform na Prezzo
Mwana FA
FA na Prezzo
AY, Prezzo na FA
Prezzo na mrembo kwenye stage