Blogger Widgets

April 18, 2013

Miss Faraja Kota na Mume Wake Wafananishwa Kma Obama na Michele Hasa Ukiangalia Picha Hii


MREMBO aliyewahi kushika Taji la Miss Tanzania, Faraja Kota na mumewe Mheshimiwa Lazaro Nyarandu wamefananishwa na Rais wa Marekani, Barak Obama na mkewe Michelle Obama kutokana na muonekano wao.
Hivi karibuni mtandao wa 8020 fashion, ulitupia picha za Faraja na mumewe wakiwa wameongozana kwenye hafla ya uzinduzi wa mtandao wa www.shlendrect.co.tz ambapo wawili hao walionekana wakishikana mikono kama wafanyavyo Obama na mkewe
Kupitia mtandao huo, watu walitupia maoni na kusema kuwa wanandoa hao maarufu wanapaswa kuigwa na watu maarufu wote kwani wamewafananisha na Rais Obama na mkewe ambao wana heshima kubwa katika jami
i
chanzo:globalpublishers.info