Most Of The Time Nikiwa Home Baada ya shuguli za kimuziki Napendelea Sana kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yangu pia kuweka Mwili kwenye Muonekano Mzuri... Mazoezi yanachangia kwa Kiasi kikubwa kwenye Maisha yangu ya kila siku ....!! Kiafya zaidi.....Uchangia hata kupunguza mafuta mwilini na hata kuepusha magonjwa Mbalimbali kwenye Mwili wa Binadamu...!! |