Rapper Cyrill aka Kamikaze amepata meneja mpya. Hata hivyo sio meneja kama mameneja wa wasanii tuliowazoea. Ni meneja wa kike and she is hot. Ingia ndani kuona picha yake na jinsi Kamikaze anavyomuongelea.
“My new manager.. Ye ndo anasimamia my new projects for now,anitwa Lore, sio tu mzuri ni mdogo pia ana miaka 23 tu,ila manager sio umri wa umbo ni akili tu,” ameandika Kamikaze.
Uhusiano wa Kamikazi na meneja wake mpya Lore ni wa kimuziki tu ama ni zaidi ya hapo? Jibu wanalo wao wenyewe.