Blogger Widgets

April 25, 2013

Rihanna Akutwa Nusu Uchi Back satge Akiwa anajiremba





Mwanamuziki nyota Rihanna amebambwa na mapaparazi akiwa nusu utupu nyuma ya jukwaa wakati akijipodoa kwa ajili ya onesho lake la ziara aliyoipa jina la 'Diamond World Tour'


Vyanzo vya habari vilieleza kuwa kinara huyo alibambwa mwishoni mwa wiki akiwa amevaa chupi ya kijani huku akiwa amefunika

matiti yake kwa taulo wakati akijipodoa nywele zake kabla ya onyesho hilo lililofanyika mjini Atlanta
From:Pro24