Blogger Widgets

November 10, 2012

Hizi ni baadhi ya picha zikimuonesha mwanadada Yvonne Cheryl a.k.a Monalisa baada ya kujiunga na FREEMASON.

 Hivi karibuni, staa huyo wa filamu ya Girl Friend alibambwa akiwa na saa, mkoba  na pete zikiwa na alama za Freemason.

Baadhi ya watu walisema Mona amepatikana, sasa ni mwanachama wa imani hiyo inayochimbwa na wengi duniani ili kujua uhalali wake.…


Saa ya Monalisa aliyoiva ameiva
“Huyu msanii (Mona) amepatikana sasa. Atakuwa mwanachama wa Freemason. Lakini hata kama si kweli bado anaikubali imani ile ndiyo maana ana vitu vyenye nembo yao,” alisema Sakina ambaye alimshuhudia staa huyo akiwa na vitu vyenye alama hizo.
Hata hivyo, Mona mwenyewe aliponaswa na mwandishi wetu juzikati, jijini Dar na kuulizwa kuhusu madai hayo, alikana kuwa mwanachama wa Freemason na akajitetea hivi:
“Kuvaa vitu vyenye alama hiyo haimaanishi mimi ni Freemason, wala sitarajii. Haya ni mambo ya urembo tu na  mimi navutiwa sana na vitu kama hivi.”
pete ya kifree mason ya monalisa