Click
“Join
This Site” uwe MEMBER of FOL CLASSIC
Huyu ndio mwanajeshi Mathew alietangaza uchumba na Ben ambae ni mwanaume mwenzake ndani ya Ikulu ya Marekani, amesema kwa mara ya kwanza walikutana Ikulu ndio maana
wamepachagua kwa ajili ya kutangaza uchumba wao, taarifa kamili inakuja baadae kidogo
SOURCE:Millard Ayo