ni Chini na chini pamekuwa juu. Mashabiki wa Amber walikuwa mstari wa mbele kwenye kuliza maswali kuhusu mchoro huo bila kupata majibu wala maelezo kutoka kwa Amber ambaye ni mama mtoto wa Rapper Wiz Khalifa.
Mpaka sasa tafsiri ya wengi imekuwa inahusisha mchoro huo na imani za kishetani.
No comments:
Post a Comment